What a day!! when someone receives the Lord, and gets baptized, it was a day, that made a difference, many souls were baptized, praise the Lord, they received the Lord and are now walking in the light of his presence.
Reading His word, & preaching His wonderful word is such an experience, it deepens and enriches our Christian experience,
come let us study His word, the WORD of GOD.
Thursday, April 25, 2013
Thursday, April 4, 2013
MAWAKILI WA KRISTO
Mwinjilisti: Saganga I.M.Kapaya,
2
Kutoka
Kanisa la Waadventista Wasabato-Tegeta
• Uwakili
kwa KRISTO
1 Kor. 4:1-2
Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili
wa siri za Mungu. Hapo tena inapohitajika katika mawakili, ndiyo mtu aonekane
kuwa mwaminifu.
• Uwakili
kwa KRISTO
1 Kor. 9:17, 18
Maana nikiitenda kazi hii kwa hiari yangu nina thawabu;
ila ikiwa si kwa hiari yangu, nimeaminiwa uwakili. Basi thawabu yangu ni nini?
Ni hii, ya kuwa nihubiripo, nitaitoa injili bila gharama,bila kutumia kwa
utimilifu uweza wangu nilio nao katika injili
• Uwakili
kwa KRISTO
1 Pet. 4:10,11
Kila mmoja kwa kadri alivyoipokea karama, itumieni kwa
kuhudumiana; kama mawakili wema kwa neema mbalimbali za Mungu….ili Mungu
atukuzwe katika mambo yote kwa YesuKristo….
• Uwakili
kwa KRISTO
Tit. 1:7,8,9
Maana imempasa askofu(mwangalizi) awe mtu asiyeshitakiwa
neno, kwa kuwa ni wakili wa Mungu; asiwe mtu wa kujipenda nafsi yake, asiwe
mwepesi wa hasira, asiwe mlevi wala mgomvi, asiwe mpenda mapato ya aibu; bali
awe mkaribishaji, mpenda wema,mwenye kiasi,mwenye haki, mtakatifu,mwenye
kudhibiti nafsi yake, akilishika lile neno la imani vilevile kama
alivyofundishwa,apate kuweza kuwaonya watu kwa mafundisho yenye uzima, na
kuwashinda wenye kupinga.
• Uwakili
kwa KRISTO
Luka 12:42,43
Bwana akasema, Ni nani, basi, aliye wakili mwaminifu,
mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu ya utumishi wake wote,awape watu
posho kwa wakati wake? Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta
anafanya hivyo.
• Uwakili
kwa KRISTO
Luka 16:1-2
Tena, aliwaambia wanafunzi wake, palikuwa na mtu mmoja,
tajiri, aliyekuwa na wakili wake; huyu alishitakiwa kwake kuwa anatapanya mali
zake. Akamwita, akamwambia, ni habari gani hii ninayosikia juu yako? Toa hesabu
ya uwakili wako, kwa kuwa huwezi kuwa wakili tena. (inaendelea)
• Uwakili
kwa KRISTO
Luka 16:9,10
Nami nawaambia, jifanyieni rafiki kwa mali ya udhalimu,
ili itakapokosekana wawakaribishe katika makao ya milele. Aliye mwaminifu
katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye
dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia.
• Uwakili
kwa KRISTO
Spiritual Gifts, Vol.1, p181-182
“Shetani alitumia tamaa, kujipenda nafsi
kwa Yuda na kumuongoza kulalamika juu ya marham Mariamu aliyoitoa wakfu kwa
Yesu. Yuda aliiangalia kama ufujaji mkubwa; ingeweza kuuzwa na kuwapa
maskini. Hakuwajali maskini lakini akahesabu sadaka ile ya ukarimu kwa Yesu
kuwa ubadhilifu. (inaendelea)
• Uwakili
kwa KRISTO
Yuda alimpigia bei Bwana wake kiasi cha kumuuza kwa
vipande kidogo vya fedha. Na niliona kuna wengine walio kama Yuda kati ya wale
wanaotangaza kumsubiri Bwana wao. Shetani amewashikilkia lakini hawajui. Mungu
hawezi kukubali hata chembe kidogo ya tamaa na ubinafsi. Mungu anavichukia
na anadharau maombi na kusihi kwa wenye tabia hizo.
• Uwakili
kwa KRISTO
Ambavyo Shetani anaona muda wake ni mfupi, anawaongoza
kuwa wachoyo zaidi na zaidi, wenye tamaa zaidi na baadae anafurahia sana
anapowaona wakijikumbatia wenyewe, katika kifungo , ufukara na choyo”.
• Uwakili
kwa KRISTO
Spiritual Gifts, vol. 1, p182.
“kila aliye mchoyo na mwenye tamaa ataanguka njiani. Yuda
aliyemuuza Bwan wake, watauza kanuni bora na kuacha mpango adilifu wa ukarimu
kwa mambo kidogo ya kidunia. Wote hao watapepetwa kutoka katika watu wa
Mungu. Wale wanaoitaka Mbingu ni lazima, kwa nguvu zote walizo nazo
kushikilia kanuni za Mbingu.”
• Uwakili
kwa KRISTO
Je kama nimekuwa nikimuibia Bwana zaka, nitubuje?
Review and Herald, Jan, 20, 1885.
“mahali popote palipokuwa na hali ya kutojali kufanya
sehemu yako kurudisha kwa Bwana sehemu yake, utubu kwa majuto ya rohoni na ufanye
kurudisha, ili isije laana yake juu yako…
• Uwakili
kwa KRISTO
wakati umeshafanya kile uwezavyo kwa upande wako, pasipo
kuzuia chochote kinachomhusu Muumba wako, unaweza kuuliza akupatie namana ya
kutuma ujumbe/ukweli kwa walimwengu.”
• Uwakili
kwa KRISTO
Je, Nikiomba msamaha tu, kwa zaka nilizo kula, si inatosha
tuu?
Messages to Young People, p. 248.
“Maombi hayakusudiwi kufanya badiliko lolote kwa Mungu;
bali huleta upatanifu na Mungu. Maombi hayachukui nafasi ya wajibu. Maombi
yaliyotolewa wakati wowote mara kwa mara na tena kwa bidii,
• Uwakili
kwa KRISTO
kamwe hayatakubalika kwa Mungu yachukue nafasi ya zaka.
Maombi hayatalipia madeni yetu kwa Mungu.”
Mungu alituasa: Soma (Wal. 6:1-7)
“…[f4]ndipo itakapokuwa amefanya dhambi, na kupata hatia,
atarudisha hicho alichokipata…
[f6]
kisha ataleta sadaka yake ya hatia kwa Bwana.”
• Uwakili
kwa KRISTO
Je twaweza kuwa tunamdanganya Mungu katika ahadi na matoleo?
Wal.6:1-7.
• Kudanganya
kutokana na mapatano(ahadi),kuapa kwa uongo (ahadi) (f2,3)
• Njia
pekee ni kurudisha/kutimiza mapatano/kiapo/naziri na kutubia dhambi (f4,5,6)
• Uwakili
kwa KRISTO
Yesu alituasa nini kuhusu kupatanishwa na kutubu?:
Math. 5:26.
“Amini, nakuambia, hutoki humo kamwe hata uishe kulipa
senti ya mwisho.”
• Uwakili
kwa KRISTO
Je Yesu alikubali toba ya wizi ya Zakayo?
Luka 19:8-9
“…[f8]Bwana nusu ya mali yangu nawapa maskini, na ikiwa
nimemnyang’anya mtu kwa hila namrudishia mara nne…
[f9]Yesu
akamwambia, Leo wokovu umefika nyumbani humu,…
• Uwakili
kwa KRISTO
Je Mungu anajali zaka ndogo?
Math. 23:23
…”mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira…hayo imewapasa
kuyafanya wala yale mengine msiyaache.”
• Uwakili
kwa KRISTO
Mambo gani yanasababisha watu kutokutoa zaka na sadaka kwa
uaminifu?
• Kutoweka
vipaumbele sahihi., Harusi, misiba, maisha. (Math 6:33)
• Nira
za mikopo na madeni, mabenki, SACCOs, upatu, n.k. (Kum.15:6)
• Kukosa
imani juu ya matoleo na hofu ya maisha (Luka 18:8, Ebr. 11:6)
• Uwakili
kwa KRISTO
• Ubinafsi,
ulafi na choyo (mf. Kijana tajiri, Math. 19:16-22)
• Uwakili
kwa KRISTO
Je laana ya kutokulipa zaka na sadaka ni ipi?
(Soma Mal. 3:9) na Kumb.28:15-68
• Laana
juu ya mafanikio (f16-17)
• Laana
juu ya uzao wako (f18)
• Laana
ya mashaka na kukemewa (f20)
• Laana
ya magonjwa; tauni,kifua kikuu, homa, kuwashwa, upanga, ukaufu, koga n.k
(f21,22,27,28,35)
• Uwakili
kwa KRISTO
• Laana
ya kuibiwa mke/mume,mali (f30)
• Laana
ya kiuchumi, utakopeshwa (f44)
• Laana
ya mapigano katika familia na kulana(f54-57)
• Laana
ya kuzimia, wasiwasi na kudhoofika, woga (f65-68)
• Uwakili
kwa KRISTO
Je baraka za kulipa zaka na sadaka ni zipi?
• Mibaraka
ya kufunguliwa madirisha ya Mbinguni (Mal.3:10)
• Mibaraka
ya chakula, afya, kutokuharibu mimba, ugumba, kuhofiwa, uchumi bora,(Kut.
23:25-27, Kum.28:4-14)
• Mibaraka
ya utawala/mamlaka (Math.25:21)
• Mibaraka
ya taji ya uzima wa milele (Uf.2:10)
• Uwakili
kwa KRISTO
Review and Herald Dec. 1, 1896
“Haitachukua muda mrefu kabla mlango wa rehema kufungwa.
Ikiwa hatufanyi sasa jitihada za kumtumikia Bwana kwa uaminifu, jinsi gani
utakutana na kumbukumbu yako ya kutotenda kwa uaminifu? Si muda mrefu kuanzia
sasa, wito utatolewa kwa ajili ya kusawazisha vitabu vya hesabu na utahitajika
kusema,
• Uwakili
kwa KRISTO
‘kiasi gani unawiwa na Bwana Mungu? Ikiwa hili haliwezi
kufanyika, kwa unyenyekevu wenye majuto mwombe Mungu kwa ajili ya Kristo
akusamehe deni lako kubwa. Anza sasa kutenda kama mkristo. Usitoe udhuru kwa
ajili ya kushindwa kutoa kwa Bwana iliyo sehemu yake. Sasa, wakati bado sauti
tamu ya rehema inaposikika, ni wakati bado hujachelewa, kwa makosa uwezayyo
kuyasahihisha
• Uwakili
kwa KRISTO
‘wakati iitwapo leo, kama utaisikia sauti yake; usifanye
moyo wako mgumu.”
Selected Messages, Vol. 4, p1893
“Kwa kadri walivyopokea nuru, wengi wamefanya maungamo
kuhusiana na madeni wanayowiwa na Mungu, na kuelekeza dhamira zao za kuyaondoa.
• Uwakili
kwa KRISTO
‘Ibrahimu kwa kutambua deni lake kwa Mungu, anafanya
matengenezo na uamuzi thabiti.
Ebr. 7:2“ambaye Ibrahimu alimgawia sehemu ya kumi ya vitu
vyote,”
Njia bora ya kutengeneza, ni kupiga thamani ya vitu vyako
na kutoa asilimia 10 zaka, 10 sadaka,
Mapato=Mali+Matumizi.
• Uwakili
kwa KRISTO
Selected Messages, Vol. 4, p1893
‘Nashauri ya kwamba waweke kwa mhazini ukumbusho wa ahadi
zao kulipa kiasi cha zaka ya uaminifu mapema, kadri wawezavyo kupata fedha
wafanye hivyo. Vichwa vingi vinapo inamishwa kukubali; mimi nina uhakika mwaka
ujao hautakuwa na hazina iliyo tupu kama ilivyo sasa hivi.”
• Uwakili
kwa KRISTO
WITO:
AMUA LEO KUWA WAKILI MWAMINIFU KWA AJILI YA UZIMA WA MILELE.
MUNGU AKUBARIKI UNAPOFANYA MAAMUZI HAYA YA UMILELE.

Subscribe to:
Posts (Atom)