MIHURI SABA
Mwj. Saganga
KAPAYA;
Tegeta SDA Church
Kitabu cha ufunuo
Ni ufunuo wa Yesu
uf 1:1
Ni ishara uf 1:1
Kimeandikwa kwa
kutumia lugha ya ishara/picha
Kimeandikwa
kikitumia lugha ya kijeshi pia
Kinatumia a
chaiastic structure:
muundo wa A-B-A*
Kina maudhui
yanayojirudia rudia
Kinamfunua Kristo
na kanisa lake na mahali walipo katika pambano kuu
Kitabu cha ufunuo
Kinatumia lugha ya picha ya mandhari ya hekalu
Kinatumia/kunukuu; wahusika, matukio,n.k. ya kitabu cha
agano la kale
Kimepangwa katika muundo wenye safu zenye matukio
saba-saba
Mihuri Saba: Msingi wake
Ufunguo wa kuielewa
Mihuri 7 ni Uf. 5
Siku ya Pentekoste
ni siku ya kuanza mihuri 7.
Ufunuo 5:1-14
(Kutawazwa=Coronation)
f.1-kitabu kimeandikwa ndani na nje + mihuri 7
Yosh. 1:6-9, kumb. 17:14-(18*)20, zab. 1:2, mithali 3:1-5, 2 Waf.
11:12*, Kum. 31:9
Mfalme alipowekwa madarakani alikabidhiwa Torati.
f.2- malaika mwenye nguvu anahusishwa na tukio Muhimu sana-(mf.
Gabriel=Nguvu za Mungu)
Mihuri Saba: Msingi wake
f.5- mihuri
saba=(pete ya mfalme), huwakilisha mamlaka, umiliki, n.k.
f.6-kiti cha
enzi=kochi refu, waweza kaa 2,3… uf.3:20-21.
Pembe 7=nguvu, falme
Macho 7= Roho
Nambari 7 ni ukamilifu
Mihuri Saba: Msingi wake
f.8-vitasa=mabakuli
yaliyotumika hekaluni, huwakilisha maombi ya watakatifu/manukato
f.9-anastahili
Mwana-Kondoo
f.11-Mwana-Kondoo
apewa mamlaka
f.6-Roho 7
zilizotumwa Duniani (Siku ya Pentekoste),
Katika Uf. 4:5, zilikuwa hazijatumwa
Mihuri Saba: Msingi wake
Wazee 24, na wenye uhai 4
12 (Taifa la Mungu)=Israeli waliomwamini Yesu, +
12 (Taifa la Mungu=Mataifa waliomwamini Yesu
Rejea: Yak. 1:1, Gal. 3:26-29, 1Pet. 2:9-10)
f.12-14-Mwana-Kondoo atukuzwa, na kupewa mamlaka na enzi (Kol. 2:15)uhai
Wenye uhai 4: Uf 4:6b-7 pia Ez 1:10
Hes 2:2“Wana
wa Israeli watapanga kila mtu penye beramu yake mwenyewe, na alama za nyumba za
baba zao; kuikabili hema ya kukutania ndiko watakakopanga kwa kuizunguka pande
zote.”
Mihuri Saba: Msingi wake
Neno: BERAMU=nembo (insignia/emblem)
Kila kabila la israeli walikuwa na nembo ya kabila lao
Kila mwenye uhai huwakilisha nembo ya kabila, kati ya
makabila 4 yaliyokuwa mstari wa mbele
Makabila haya manne:
Yuda-mashariki (mfano wa simba), Hes.2 : 3, Ez. 41:19
Efraim-magharibi (mfano wa ng’ombe) Hes 2:18, Hos 10:11,
Kumb. 33:13-17
Reuben-kusini (uso wa mwanadamu) Hes 2:10-11, Ez 41:19
Dani-kaskazini (mfano wa tai), Hes. 2:25
Mihuri Saba: Msingi wake
Kuna kufanana kwa wenye uhai 4 katika uf 4:6b-7 na Ez.
1:5-6,10, 10:14 na Isa 6.
Wako 4, nambari 4 (note: 3 ni ya kiungu) ni ya
kiulimwengu, ikiwakilisha ulimwengu. Ncha zake 4.
Visifa vya wenye uhai 4:
Wako karibu na Mungu kuliko viumbe wote uf.5:6
Wana macho mwili mzima=wanaroho wa Mungu kwa kipimo
kikubwa, ili kuona na kutambua mashauri ya Mungu
Wanawakilisha pande/ncha 4 za ulimwengu
Wana mabawa mengi=kasi kutimiza matakwa ya Mungu
Mihuri Saba: Msingi wake
Simba: ujasiri,nguvu, uthabiti
Ng’ombe: unyenyekevu, kujishusha uvumilivu, nguvu
Mwanadamu: akili, utambuzi, hekima, uelewa wa kiroho,
Tai: kuona kwa wepesi na wepesi wa kuenda
“The four living creatures in Ezekiel guided
wheels within wheels. All that imagery reveals that “the complicated play of
human events is under divine control. Amidst the strife and tumult of nations,
he that sitteth above the cherubim still guides the affairs of the earth.”
–Education, pp. 173, 177-178.”
Mihuri Saba: Msingi wake
Taifa/Kanisa baada ya miaka 70 ya utumwa, ezekieli
anaonyeshwa sura mbili; mwanasimba na binadamu (Yuda na Reuben) ez. 41:17-19
Katika ufunuo 7 makabila ya efraim na dani (ng’ombe na
tai) hayapo kati ya wale 144,000 walitiwa muhuri wa Mungu.
Wameenda wapi?=wamepotea!!
Hapa hekalu la Ezekieli linawakilisha kanisa la Mungu
wakati ufalme wake utakaposimikwa
E. G. White warned God’s
people that “the fifth chapter of Revelation needs to be closely studied. It is
of great importance to those who shall act [future] a part in
the work of God for the last days.” – Testimonies, vol. 9, p. 267
(written 1904-1909)
Mihuri 7
Mihuri 7 inahusu
uzoefu wa watu wa Mungu.
Mihuri 7 (pia
Tarumbeta 7), imejengwa katika makundi 3:
Mihuri (4) 1-4
Mihuri (2) 5-6
Mhuri (1) 7
Mihuri 7 inaamriwa na Yesu/mbingu
Mihuri 7 inatukia
Duniani siyo mbinguni
MIHURI 7
Mihuri 7 imeandikwa
katika mlolongo (sequence) 1-7 (makanisa 7 hayakupangwa hivyo)
Gombo linawezwa
kusomwa tu pale muhuri wa 7 unapofunguliwa.=katika muhuri wa 7 ndiyo watu
wanaweza kuuelewa ujumbe ndani ya gombo!
Yesu ndiye
anayefungua Mihuri (akitawala muda/timing ya muhuri=matuki), lakini ni wenye
uhai 4 wanaowaita muita Yohana kuja kuona
Muhuri 1
Farasi mweupe; uf
6:1
Rangi nyeupe
Usafi zab.51:7
Haki kamilifu ya Kristo uf 7:14, 19:8
Ushindi isa1:18
Utakatifu uf 7:13
Mawe meupe huwakilisha tabia takatifu itolewayo bure uf 2:19
Farasi
Watu, esp. watu wa Mungu Wimb. 1:9, isa 63:13, zek 10:3, Joel 2:1-4*
Muhuri wa 1
unahusiana na mwenye uhai wa 1
MUHURI WA 1
Muhuri ulifunguliwa wakati mwanakondoo akiwa anatoka
damu (amechinjwa)=Wakili mkuu wa mwanadamu alikuwa bado anafanya upatanisho kwa
ajili ya mwanadamu
Uf 6:1 anasikia sauti ya ngurumo: sauti ya ngurumo
inapolia huwakilishwa kwamba hukumu imekwisha fanywa. Yoh 12:29, uf 4:5, 10:3,4
Mpanda farasi:Uf 19:11-13, Yesu anaonekana kama mpanda
farasi, “Mwaminifu wa Kweli”
Taji=ishara ya ushindi
Uta (upinde)=ni ishara ya vita n.k.
Muhuri wa 2
Farasi mwekundu: Uf 6:3
Mwenye uhai 2: anawakilisha efraim=ndama (Hos.10:11,
Kumb. 33:13-17)
Efraimu walimuasi Mungu, hajajumuishwa katika 144,000.
(Hos. 4:17)
Efraimu waliamua kuwa waabudusanamu na jua waliungana na
makabila ya kaskazini wakamwasi Mungu.
Wakati israeli walipojitenga na Yuda, aliyeongoza
mapinduzi ni Jeroboamu wa kabila ya Efraimu 1 waf. 12:28-13:10
MUHURI WA 2
Jeroboamu alinzisha ufalme wa ibada ya sanamu wa kuabudu
Ndama (2), wakati wa siku ya upatanisho (day of atonement)
Efraimu huwakilisha ibada ya sanamu, uasi na uasi wa
kiroho
Efraimu aliongoza makabila 10 ya kaskazini katika uasi,
kama vile babeli uf 17, anavyoongoza mnyama mwenye pembe 10.
Efraimu anajiunga na ufalme wa kaskazini, kaskazini
ikiwakilisha babel-upapa pia.
MUHURI 2
Farasi mwekundu Uf
6:4
Huwakilisha vita ya kiroho
Kama joka jekundu la uf 12 na mnyama mwekundu wa uf 17
Nyekundu huwakilisha moto na damu=mateso na kifo
Yote ni hasi
Farasi huyu anakuja kama jibu kwa farasi wa kwanza mweupe. Akiua na
kutesa Ikiwakilishwa na upanga mkubwa aliopewa anayempanda
MUHURI WA 3
Mwenye uhai wa 3 Uf 6:5 ni kama mwanadamu uf 4:7
akiwakilisha tabia za Reuben na watu wenye tabia hizo.
Makabila mawili Yuda na Reuben ndiyo yatakayokuwa na
ushindi hatimaye
Reuben ni kabila 2 katika 144,000 baada ya lile la Yuda.
Ndiye aliyeongoza kutokea kusini Hes 2:10-11
Farasi mweusi: uf 6:5
Watu wanaohusishwa na farasi huyu walipitia tabia ya
Reuben uzinzi (wa kiroho)
MUHURI WA 3
Nyeusi ni kinyume cha nyeupe.
Kama nyeupe huwakilisha usafi, utakatifu n.k basi nyeusi
huwakilisha dhambi, kifo na giza
Farasi mweusi anazuia ukweli=nuru kutawala, farasi
mweusi watu wanaangamia kwa giza=njaa ya neno
na haki
Watu wanaodai kuwa watu wa Mungu lakini wakiwa gizani
(watu walio babeli=wakingoja mwito mkuu, token kwake…)
Anaye mpandA ana Mizani Uf 6:5
Ni nani?=Yesu akihukumu
MUHURI WA 3
Mizani?=hukumu Ay. 31:6
Anayempanda ni Yesu kama katika farasi wa 1
Ngano na shairi:
Vilitumika kutengenezea mikate=neno la Mungu
“…Kibaba cha ngano kwa nusu rupia, na vibaba vitatu vya shayiri kwa nusu rupia….”
Msisitizo uko kwenye gharama na siyo
bidhaa=bei hiyo ni kubwa sana!! Kwa bidhaa hizo
Ujumbe=neno lilikuwa adimu sana, haikuwa rahisi kupata
neno kwa sababu ya giza la kiroho na kufichwa kwa neno
Kulikuwa na njaa ya kiroho
MUHURI WA 3
“…wala usiyadhuru mafuta
wala divai…”
Kwa nini mafuta na divai yatakiwa kulindwa?
“In view of the infinite price paid for man’s redemption, how
dare any professing the name of Christ treat with indifference one of His
little ones? How carefully should brethren and sisters in the church guard
every word and action lest they hurt the oil and the wine!” – Testimonies, vol.
5, p. 614
“Let everyone who loves God consider that
now while it is day is the time to work, not among the sheep already in the
fold, but to go out in search of the lost and perishing ones…, but without
delay secure oil in their vessels with their lamps. That oil is the
righteousness of Christ. It represents character, and character is not
transferable. No man can secure it for another. Each must obtain for himself a character purified from
every stain of sin.” – Testimony to Ministers, pp. 233-234
MUHURI WA 3
Mafuta huwakilisha Roho mtakatifu, akidhihirika kupitia
tabia zilizobadilishwa ndani ya watu wa Mungu. Luk 4:18, isa 10:27, Mat 25:1-13
Watu wa farasi mweusi wako gizani lakini wamekuwa
wakimtii Roho wa Mungu
Sauti katikati ya wenye uhai-usiyadhuru…. Ni ya Yesu.
Divai?
Huwakilisha damu ya Yesu
Huponya majeraha (Luk 10:34), Jer 31:8
MUHURI WA 4
Mwenye uhai wa nne Uf 6:7, ni uwakilishi wa kabila la
dani (Kumb. 14:12, Mw. 49:16-17=ni nyoka aumae miguu ya farasi)
Katika ishara nyoka alibadilika akawa tai
Tai ni ishara ya kujikweza, kiburi, Ob. 4
Tai ni ushihirisho wa ufalme wa shetani, Isa 14.
Kaskazini=1. kilipokiti cha enzi cha Mungu (zab 48:2) 2.utukufu wa Mungu ulipotokea (ez
1:4) 3. pia shetani, wapinga kristo na wanapotokea watesa watakatifu ni
kaskazini (isa 14:13-14, yer. 6:22-23, dan 11, 2the 2:4)
MUHURI WA 4
Farasi wa kijivukijivu (njano-kijani)
Farasi(watu) huyu anapewa nguvu kuua (mwanzo hawakupewa
nguvu kuua)
Mpanda farasi ni shetani. Akiongoza kanisa la Mungu?
Lengo ni kuua siyo kutesa watu wa Mungu
Maneno kuzimu na mauti vikafuata yanathibitisha hilo
“…Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi…”
1/3 huwakilisha waovu (malaika/watu)
¼ huwakilisha watakatifu
Mihuri 1, 2, 3 &
4.
Uf.6:1-8; mihuri
4 ya mwanzo.
Mihuri 4
hudhihirisha uzoefu wa watu wa Mungu katika vipindi 4 tofauti katika historia
ya Ukristo
Ufunguo wa kuielewa
mihuri 4 ya mwanzo
Wal. 26:1-
1-Upanga, 2-njaa, 3-magonjwa, 4-wanyama wakali.
Ni matokeo ya kutokutii ambayo yapo pia katika mihuri 4
ya mwanzo
Mihuri 1, 2, 3 &
4.
Kwa nini Mungu
aliwakumbusha watu wake kuhusu hukumu 4?
Ez. 14:21-24
hukumu/mapigo/majanga [dooms]
Yer. 15:3-4 aina za
hukumu/mapigo/majanga
Kwa sababu walikuwa
sio-watiifu
Mihuri 1, 2, 3 &
4.
Jinsi yanavyotokea:
1.Upanga/vita
2. Njaa
3. Magonjwa
4. wanyama wakali {Kifo}
Hukumu za Mungu ni
kwa watu wasio waaminifu
Isa. 10:5-6, Mungu
alitumia mataifa jirani kuwaadhibu-Israeli
Mihuri 5&6
Mhuri wa 5: (Uf.
6:9-11) Ni kipindi cha kusubiri,
Swali kubwa la
watakatifu: Hata lini Bwana?
Uf. 6:9-11, Zak.
1:12-14, Dan. 12:6-7
Hata lini mateso? =
nyakati 3 ½
Ni kipindi cha zama za giza 538-1798 b.k.
Roho (nefesh=nafsi)
za waliouwawa= watu wa Mungu walioteswa na
kuuwawa
Chini ya madhabahu (ya sadaka ya kuteketezwa)
Chini ya madhabahu hii, ilimwagwa damu, ikiakisi kulia kwa damu ya Abeli
Mihuri 5&6
Uf.6:10b“hao wakaao
juu ya nchi” ni msemo unaotumika mara kwa mara katika ufunuo kuwakilisha waovu
(Uf. 11:10,13)
Wanaambiwa kusubiri kidogo
Wanapewa mavazi meupe
Hadi watakapokamilishwa (swala siyo idadi), idadi /hesabu ni neno
nililoingizwa na watafsiri
Mihuri 5&6
Mhuri wa 6: (Uf.
6:12-17), zama za kati.
Jibu la Mungu kwa
maombi ya watakatifu katika muhuri wa 5.
Muhuri wa sita
unatuleta mpaka ujio wa Yesu mawinguni: Matukio/ishara muhimu:
1755-tetemeko la ardhi
1780-jua kutiwa giza
1780-mwezi kutiwa giza
1833-kuanguka kwa nyota
Je vitu hivi ni
ishara (symbols)?
Mihuri 5&6
¢Vitu hivi ni halisi. (Mat. 24:29-30) Ishara/symbols ziko katika mabano:
Tetemeko
Jua (jesusi kama gunia la singa)
Mwezi (kama damu)
Nyota (kama mtini upukutishavyo maapooza ukitikiswa na upepo mwingi)
***Mat 24:29-30
jua na mwezi vikakataa kutoa nuru/mwanga
***nyota kudondoka/kuanguka
***nguvu za mbinguni kutikisika
¢Sef. 2:11, Isa 2:19, Hos. 10:8, luk. 23:30 kutikiswa kwa Mbingu
Mihuri 5&6&7
Sura ya 7 ni
pause/pumziko (interlude) , ni tukio kuu wa utiwaji muhuri watu wa Mungu.
Mhuri wa 7: Uf.
8:(1*)-6
Ukimya umehusishwa
na Hukumu ya Mungu, Sef.1:7
Uf 6:16-17 katika
muhuri wa 6, waovu waliuliza ni nania awezaye kusimama?, kwa sababu
walichanganyikiwa, wakasahau kwamba watakatifu watasimama.
MIHURI SABA
Mungu awabariki!
Tugeuke, tupate
Muhuri wa Mungu kwa wakati wake.
0716/0767/0684 236 149
No comments:
Post a Comment